• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Bumbuli District Council
Bumbuli District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Mahesabu
      • Maendeleo ya Jamii na Huduma ya Lishe
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Mahesabu
    • Kata
      • BAGA
      • BUMBULI
      • DULE B
      • KISIWANI
      • KWEMKOMOLE
      • MAHEZANGULU
      • MAMBA
      • MAYO
      • MGWASHI
      • MILINGANO
      • MPONDE
      • NKONGOI
      • SONI
      • TAMOTA
      • USAMBARA
      • VUGA
      • KWEMAKONKO
      • MBUZII
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Utalii
    • Viwanda
    • Biashara
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma
    • Ushauri katika Kilimo
    • Ushauri katika Mifugo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali na Utoaji Mikopo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Vitega Uchumi vya Halmashauri
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Makala
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WAHESHIMIWA MADIWANI BUMBULI WAPATIWA VISHIKWAMBI

Posted on: February 6th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri kwa mwaka wafedha 2023/2024 imenunua vishikwambi (Tablets) 24 kwa Waheshimiwa Madiwani na vishikwambi (tablets) 18 za Menejiment vyenye thamani ya shilingi milioni 10.5.

Mkurugenzi Mtendaji Ndugu, Baraka Zikatimu alieleza kuwa vishikwambi hivyo vimenunuliwa ikiwa ni utekelezaji wa azimio la baraza la madiwani kwa bajeti ya mwaka 2023/24 ambapo iliazimiwa kununua vishikwambi hivyo kwa ajili ya Waheshimiwa Madiwani na Menejimenti ili kuondokana na matumizi makubwa ya karatasi, kuokoa gharama na hivyo kuelekeza fedha hizo kwenye shughuli za kimaendeleo pamoja na kuendesha vikao vyote kidigitali.

Tukio hilo la kukabidhiwa vishikwambi lilifanyika tarehe 06 Februari, 2024 katika ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ambapo maelekezo ya namba ya kuvitumia vishikwambi hivyo wakati wa kutuma taarifa na wakati wa vikao yalitolewa kwa madiwani na wataalam wa Halmashauri.

Akikabidhi vishikwambi hivyo kwa Waheshimiwa Madiwani na Watendaji Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Amiri A. Sheiza awaliwaomba wavitunze kwani ni vitendea kazi muhimu katika kazi na vitatumika kupokelea taarifa mbalimbali za halmashauri kwa kamati zote za kudumu na mkutano wa baraza la madiwani.

Akitoa shukrani Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bumbuli Mhe. Hozza A. Mandia Diwani wa Kata ya Kwemkomole kwa niaba ya Waheshimiwa Madiwani, alimshukuru Mkurugenzi Mtendaji na Menejimenti kwa kutekeleza azimio hilo kwa vitendo na kuomba utekelezaji wa maazimio mengine ya baraza uendelee kwa vitendo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 24, 2025
  • UANDIKISHAJI WANAFUNZI DARASA LA AWALI NA LA KWANZA MWAKA 2023 December 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA July 06, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO September 29, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • Rais Dkt. Samia azindua jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

    February 24, 2025
  • WAHESHIMIWA MADIWANI BUMBULI WAPATIWA VISHIKWAMBI

    February 06, 2024
  • MAFUNZO YA MFUMO WA KIELEKRONIKI WA KUAJIRI 'AJIRA PORTAL'

    December 12, 2023
  • KIKAO KAZI CHA USALAMA MAHALA PA KAZI

    September 25, 2023
  • View All

Picha Jongefu

MFUMO WA MIKOPO YA 10% - NAMNA YA KUJISAJILI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • FURSA ZA KILIMO CHA CHAI
  • USHAURI KATIKA MASUALA YA KILIMO
  • FURSA KATIKA MASUALA YA MIFUGO
  • FOMU YA MAOMBI MBALIMBALI
  • ELIMU YA UJASIRIAMALI NA UTOAJI WA MIKOPO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    02 KITONGOJI CHA UGUNGA

    Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI

    Telephone: 0272977530

    Mobile:

    Email: ded@bumbuklidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.