• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Bumbuli District Council
Bumbuli District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Mahesabu
      • Maendeleo ya Jamii na Huduma ya Lishe
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Mahesabu
    • Kata
      • BAGA
      • BUMBULI
      • DULE B
      • KISIWANI
      • KWEMKOMOLE
      • MAHEZANGULU
      • MAMBA
      • MAYO
      • MGWASHI
      • MILINGANO
      • MPONDE
      • NKONGOI
      • SONI
      • TAMOTA
      • USAMBARA
      • VUGA
      • KWEMAKONKO
      • MBUZII
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Utalii
    • Viwanda
    • Biashara
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma
    • Ushauri katika Kilimo
    • Ushauri katika Mifugo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali na Utoaji Mikopo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopangwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Vitega Uchumi vya Halmashauri
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Makala
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

VIKUNDI VYA WAKULIMA NA WAJASIRIAMALI VYA PATIWA VIFAA

Posted on: September 4th, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Mhe. Amiri A. Sheiza leo tarehe 04 Septemba, 2023 amepokea na kukabidhi vifaa kwa wakulima na wajasiliamali wa vikundi vinne vilivyopo katika kata ya mamba na mayo.

Vifaa hivyo ni pamoja na Maguta (toyo), mashine ya kufyatulia tofali za kisasa, pampu ya maji, viriba, keni pamoja na paipu ya kuvutia maji. Vifaa hivyo vimetolewa na shirika la “CARE International” ambalo  linalojishughulisha na kuwajengea uwezo wakulima na wajasiliamali katika kukuza fursa za kiuchumi ili kuongeza tija katika ubora, viwango vya uzalishaji.

Akiongea katika hafla hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri amesema “Anaishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kuendeleza sekta ya kilimo kupitia fursa mbalimbali anazo zitoa, pia anaishukuru taasisi ya CARE kwa kutoa vifaa ambavyo vitawasaidia wakulima na wajasiliamali hao katika shughuli zao. Aidha aliwataka wakulima na wajasiliamali waliopata vifaa hivyo kuvitumia vizuri ili viweze kuwaletea tija na kuwaongezea vipato na kuwa mabalozi wazuri kwa wenzao.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Ndugu Baraka M. Zikatimu amesema, anaishukuru na kuipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa kuweka sera, miongozo mbalimbali inayotoa fursa kwa wadau wa maendeleo  kushirikiana na serikali kuleta maendeleo kwa amani na utulivu

Wawakilishi wa Taasisi ya CARE International Ndugu Barnabas Mtelevu meneja wa mradi na Bi. Neema Lweeka mratibu wa mradi wameishukuru Serikali kwa kuwaamini na kuwapatia nafasi ya kuisaidia jamii katika kuwapatia fursa mbalimbali ambazo zimeisaidia serikali katika kuleta maendeleo ya wananchi na Taifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU March 24, 2025
  • UANDIKISHAJI WANAFUNZI DARASA LA AWALI NA LA KWANZA MWAKA 2023 December 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA July 06, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO September 29, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • Rais Dkt. Samia azindua jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli

    February 24, 2025
  • WAHESHIMIWA MADIWANI BUMBULI WAPATIWA VISHIKWAMBI

    February 06, 2024
  • MAFUNZO YA MFUMO WA KIELEKRONIKI WA KUAJIRI 'AJIRA PORTAL'

    December 12, 2023
  • KIKAO KAZI CHA USALAMA MAHALA PA KAZI

    September 25, 2023
  • View All

Picha Jongefu

MFUMO WA MIKOPO YA 10% - NAMNA YA KUJISAJILI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • FURSA ZA KILIMO CHA CHAI
  • USHAURI KATIKA MASUALA YA KILIMO
  • FURSA KATIKA MASUALA YA MIFUGO
  • FOMU YA MAOMBI MBALIMBALI
  • ELIMU YA UJASIRIAMALI NA UTOAJI WA MIKOPO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    02 KITONGOJI CHA UGUNGA

    Postal Address: S.L.P 111, BUMBULI

    Telephone: 0272977530

    Mobile:

    Email: ded@bumbuklidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. Haki Zote Zimehifadhiwa.