Posted on: December 12th, 2023
Mafunzo ya kuajiri kwa mfumo wa Ki-elektroniki wa Ajira Portal
Maafisa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli wakipatiwa mafunzo namna ya kuajiri. Mafunzo haya yamefanyika katika Manispaa ...
Posted on: September 25th, 2023
Semina ya usalama mahala pa kazi kwa maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Vijiji pamoja na Wenyeviti wa vijiji imefanyika kwa lengo la kuimarisha usalama na amani kwa wananchi na mali zao.
...
Posted on: September 4th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Mhe. Amiri A. Sheiza leo tarehe 04 Septemba, 2023 amepokea na kukabidhi vifaa kwa wakulima na wajasiliamali wa vikundi vinne vilivyopo katika kata ya mam...